Year: 2024
Waziri Mkuu afunga mkutano mkuu wa kumi wa wadau wa lishe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa kumiwa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3,…
Dk Tulia ataka ushirikiano na mawazo bunifu kuliendeleza Bara la Afrika na watu wake
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa…
Mahakama yaridhia mabaki ya Maradona kuhamishwa
Na Isri Mohamed Mahakama nchini Argentina imetoa ruhusa kwa mabaki ya Mwanasoka Nguli wa zamani Diego Maradona (aliyefariki mwaka 2020 kwa matatizo ya Moyo), kuhamishwa. Mapema mwaka jana watoto hao waliomba mabaki ya Baba yao yahamishwe kutoka eneo la Makaburi…
‘Hakuna utekaji wa watoto Njombe – Polisi
Na Isri Mohamed Jeshi la polisi mkoani Njombe limekanusha kuwepo kwa matukio ya utekaji wa watoto mkoani humo kama ilivyoripotiwa na moja ya chombo cha habari. Akizungumza na wanahabari kamanda wa polisi mkoani Njombe, ACP Mahamoud Banga amesema taarifa hiyo…
Zungu: Tuendelee kumuunga mkono Rais Samia matumizi ya nishati safi ya kupikia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa wito kwa watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia. Zungu ameyasema hayo leo Oktoba…