Year: 2024
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Chama Cha Wanaume Wazee Mkoa wa Dodoma kimewanyooshea vidole Wazazi na walezi ambao hawawajibiki katika malezi ya watoto kwenye ngazi za familia na kueleza kuwa hali hiyo inachangia kukithiri kwa vitendo vya mmonyoko wa maadili pamoja na…
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
a Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametangaza kuwa Januari, 2025 utafanyika uzinduzi mkubwa Kariakoo wa biashara Kufanyika masaa 24. Chalamila ameyasema hayo leo Desemba 23, 2024 jijini Dar es Salaam…
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma JESHI la Polisi Mkoa hapa limewatahadharisha wananchi kuachana na vitendo viovu katika msimu wa Sikukuu ya Krisimasi na mwaka mpya ikiwa ni pamoja na kujiepusha na upigaji wa fataki na baruti bila kibali kwa faida za usalama…
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emanuel Nchimbi ameeleza kufurahishwa na kasi ya utekelezaji miradi ya wananchi Mkoani Tabora baada ya kushuhudia baadhi ya miradi iliyotekelezwa katika Jimbo la Nzega. Akizungumza na…