JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

ACT Wazalendo : Wimbi la uporaji na migogoro ya ardhi tunasimama na wananchi

Chama cha ACT Wazalendo kimetoa msimamo wa kuunga mkono na kuongoza mapambano ya wananchi katika kukabiliana na wimbi kubwa la uporaji wa ardhi nchini. Viongozi wa chama wamesikitishwa kukutana na kero ya migogoro, uporaji na operesheni za Serikali kuwaondoa wananchi…

Watanzania wanga’ara tuzo za kimataifa

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tuzo za Kimataifa za Heshima ambazo hutolewa kwa watu maalum kwa kutambua mchango ambao hutolewa na watu hao katika jamii husika zimefanyika nchini kwa mara kwanza mwaka huu. Tuzo hizo maarufu kama (I-CHANGE…

Mama mzazi wa Halima Mdee afariki

Mama Mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresia Mdee, amefariki dunia leo Julai 30, 2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Mama Mdee alilazwa katika Hospitali hiyo mara kadhaa kwa matibabu ambapo mara ya mwisho kabla ya umauti…

Waziri Jerry Silaa atembelea TCRA Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa leo ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zilizoko jijini Dar es Salaam. Amepokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Kuwe….

Serikali yaombwa kutambua mbegu asili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mtandao wa Bayoanuai Tanzania umeomba serikali kufanya mabadiliko kwenye  sheria ya Mbegu ya Mwaka 2003 na mabadiliko yake madogo ya Mwaka 2012 ili kuipa nafasi mbegu ya asili ya mkulima kutambulika na kuingizwa sokoni kama…

Hatua hii ya HESLB kutoa mafunzo ya Tehama ni ya kupongezwa

Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Dodoma Ukosefu wa ajira ni moja ya tatizo linaloikabili nchi yetu na kimsingi si Tanzania pekee bali na nchi nyingi duniani. Kutokana na tatizo hili, hatua madhubuti na stahiki zimekuwa zikichukuliwa na wadau wote muhimu…