JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TPA kuongeza ufanisi katika bandari zake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na…

Waziri Mkuu awatembelea Stars mazoezini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ana matumaini…

DAWASA yaanza kwa kishindo wiki ya huduma kwa wateja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa ya Dar es…

CRDB yazindua Chatbot wa Kidigitali aitwae ‘Elle’

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya CRDB imezindua huduma mpya iitwayo ‘Elle’ ambayo ni huduma ya wateja wa kidijitali saa 24. Uzinduzi wa huduma hiyo umefanyika leo Oktoba 7, 2024…

Watu 70 wamekufa Haiti

Watu wasiopungua 70 wameuawa na wengine wapatao 6,300 wamekimbia makaazi yao kufuatia shambulio lililofanywa katikati mwa Haiti na genge la wahalifu. Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema katika ripoti yao iliyotolewa wiki iliyopita kuwa, karibu asilimia 90 ya watu…

Yanga wapangwa na Mazembe, Hilal na Alger

Na Isri Mohamed Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL ), Young Africans Sc wamepangwa Kundi A kwenye michuano hiyo sambamba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya…