JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali kutatua mgogoro wa ardhi ngara

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na Jeshi la Magereza katika kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Akizungumza na wananchi wa kata ya Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera baada…

Wakili  Mtatiro na Ally Kileo wataja sifa za Rais ajaye wa TLS

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, ukitarajiwa kufanyika kesho Ijumaa na kumpata Rais wa kukiongoza chama hicho miaka mitatu, wakili Julius Mtatiro na Ally Kileo wamewachambua kwa undani wagombea…

Ismail Haniyeh alikuwa nani?

Alizaliwa katika kambi ya wakimbizi huko Gaza mwaka 1963, Ismail Haniyeh alikuwa mwanachama muhimu wa Hamas tangu kuanzishwa kwake. Alifungwa na Israel mara kadhaa na wakati fulani alifukuzwa kwenda kuishi Lebanon kusini kwa miezi sita. Mnamo 2003, alinusurika jaribio la…

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh auawa

KIONGOZI wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimesema. Hamas imesema Haniyeh ameuawa katika shambulio la Israel kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria…

Meli ya mizigo kutoka China yatia nanga bandari ya Tanga

Meli kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 kutoka nchini China imetia nanga katika bandari ya Tanga Kwa mara ya kwanza  ikiwa na shehena za mizigo mbalimbali ikiwemo magari 300. Meli hiyo ya kampuni ya Seefront Shipping Service Ltd, imebeba…