JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

‘Mahakama ina nafasi kuboresha Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi’

Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Mahakama ya Rufani Tanzania inayo nafasi ya kuboresha Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kupitia Rufaa zinazokatwa na wafanyakazi ambao hawakuridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu yanayohusu fidia kwa wafanyakazi wanaoumia au kupata magonjwa…

Naibu Waziri Kapinga ashiriki Jukwaa la Mawaziri nchini Afrika Kusini

📌 Lengo ni kutangaza fursa za uwekezaji kwenye Mafuta, Gesi Asilia na Nishati Mbadala Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil…

Dk Tulia, Rais wa Hungary wajadili hali ya amani duniani

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 8 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Hungary, Tamas Sulyok katika Ikulu ya nchi…

Watu 10 wafariki dunia baada ya mgodi kuporomoka Zambia

Takriban watu 10 wamekufa na idadi ya wengine isiyojulikana hawajulikani walipo baada ya mgodi kuporomoka katikati mwa Zambia. Mamlaka nchini Zambia imesema shughuli ya uokoaji inaendelea japo haijabainika idadi kamili ya wachimbaji madini waliofukiwa chini ya ardhi. Mgodi huo uliporomoka…

Taye Selessie achaguliwa kuwa Rais mpya Ethiopia

Mabunge mawili ya Bunge la Ethiopia yamemchagua Taye Atske Selassie, Mwanadiplomasia kuwa Rais wa nchi hiyo. Taye Atske Selassie ameapishwa Oktoba 07, 2024 na kukabidhiwa katiba na Rais wa nchi anayemaliza muda wake. Taye anachukua mikoba ya Rais wa kwanza…

Tanzania ina mkakati madhubuti utakaofanikisha matumizi ya nishati safi ya kupikia – Balozi Chana

📌Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo…