JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanasheria watatua migogoro ziara ya Rais Samia Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro TIMU ya wanasheria wa kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeambatana na Rais Samiua Suluhu Hassan kwenye ziara yake ya mkoani Morogoro kwaajili ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Rais Samia yuko katika…

Bodi ya Kahawa yaja na Mgahawa unaotembea

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Kahawa imezindua mradi wa mgahawa unaotembea maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya watu ili kuweza kutoa huduma ya unywaji wa Kahawa. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya wakulima na wafugaji…

TRA yawaita wananchi kutembelea banda lao maonesho Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewaasa wananchi wanaotembelea maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) waweze kufika katika banda lao ili waweze kupata elimu kuhusiana na masuala ya kodi pamoja na shughuli mbalimbali wanazofanya. Hayo yameelezwa…

Nkuba apinga ushindi wa mgombea TLS

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa mgombea urais Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Sweetbert Nkuba, amepinga yaliyompa ushindi wa urais Bonfice Mwabukusi. Nkuba amesema akubaliani na matokeo hayo na anapinga matokeo yaliyotangazwa na Kamati ya uchaguzi ya TLS kwasababu si matokeo…

Majenerali 6 waagwa rasmi JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda leo amewaaga rasmi maofisa sita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambao wamestaafu baada ya kulitumikia jeshi kwa zaidi ya miongo mitatu. Maofisa hao wa jeshi ni Mameja…

Haniyeh wa Hamas kuzikwa leo Qatar

Qatar leo inatarajiwa kufanya mazishi ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, baada ya mauaji yake huko Tehran, katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel, jambo lililosababisha hatari ya kuenea kwa machafuko. Haniyeh atazikwa katika maziara ya Lusail, kaskazini mwa Doha baada…