JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Padri Kitima : Ninyi nyote ni ndugu, mkaishi kwa upendo

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, leo Jumapili Septemba 15, 2024, kwenye kilele cha Kongamano la 5 la Ekaristi Takatifu Kitaifa, amewatambulisha kwa waumini viongozi wa kisiasa akiwemo Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi,…

Serikali kujenga upya daraja la Mbwemkuru , Nakiu Lindi

Na Mwandishi Wetu, JaamhuriMedia, Lindia Serikali imesema inatarajia kujenga daraja lenye urefu wa mita 100 eneo la Mto Mbwemkuru lililopo mpakani mwa wilaya ya Ruangwa na Kilwa pamoja na daraja la Nakiu (mita 70), Nmkoani Lindi katika mwaka huu wa fedha 2024/2025…

JWTZ waibuka mshindi wa jumla mashindano ya BAMMATA

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othuman amemuwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda kuwaongoza Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kufunga mashindano ya Baraza la Michezo ya…

Waziri Bashe: Rais Samia hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo hivyo watendaji wa Wizara wana wajibu wa kuhakikisha yote yanayofanywa na serikali yanatekelezeka. Amesema, Rais Dk. Samia…

Tuvumiliane na kuheshimiana kama Watanzania -Dk Biteko

📌 Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu 📌 Watanzania Wahimizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto…

Askofu Bagonza : Mfumo uliopo unaruhusu kupiga kura na si kuchagua

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt Benson Bagonza amesema ifike hatua nchi iwe na mfumo unaotoa uhuru wa kupiga kura na kuchagua na siyo kama ilivyo sasa ambapo…