JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango asafiri kwa treni kushiriki Yanga Day

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika Stesheni ya Treni ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusafiri kutoka Dodoma kuelekea Dar es salaam kwa…

TRA yajuoanga kutoa elimu Nanenane

Na Richard Mrusha, JamhuriMeia, Dodoma MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imejipanga kutatua kero za kikodi kwa wananchi waliokutana na changamoto mbalimbali. Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na…

WMA yaeleza mchango wake katika sekta ya kilimo

Veronica Simba na Paulus Oluochi, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amesema WMA ina mchango mkubwa katika sekta ya kilimo hususani katika mazao ya kimkakati ambayo ni korosho, ufuta, kahawa,…