JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watatu waenda jela kifungo cha maisha kwa kusafirisha dawa za kulevya

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewahukumu kifungo cha maisha jela watu watatu wakiwemo wapenzi wawili kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine zenye uzito wa kilo 129.86. Hakimu Ephery Kisanya alitoa hukumu…

Gwiji wa Man United Robson aongoza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Gwiji wa Manchester United, Bryan Robson, maarufu kwa jina la “Captain Marvel,” leo anaongoza kundi la wasafiri 23 katika safari ya ajabu ya kupanda mlima mrefu zaidi barani Afrika, Mlima Kilimanjaro. Safari hiyo, ambayo itashuhudia kundi hilo likikwea mita 5,895…

Waziri Kombo ahimiza ushirikiano na nchi marafiki ujikite katika biashara

Tanzania imesisitiza umuhimu wa kukuza ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi marafiki, ikiamini kuwa hiyo ndiyo njia bora zaidi ya kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 09, 2024 jijini Helsinki, Finland na Waziri wa Mambo…

Tanzania, Finland zimesainia hati ya makubaliano kuendesha mashauriano ya kisasa

Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Akiba Commercial Bank Plc yaadhimisha wiki ya huduma kwa kutoa tuzo

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Akiba Commercial bank Plc imewashukuru wateja wake kuungana nao katika safari hii ya kutoa huduma bora zaidi za kibenki ambazo zinachangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania. Shukrani hizo zimetolewa leo Okoba 9,2024…

Dk Mpango aipa heko TANROADS, aweka jiwe la msingi kiwanja cha ndege

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo…