Year: 2024
Kila la kheri Taifa Stars
Na Isri Mohamed Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo saa moja usiku itashuka dimbani katika uwanja wa Stade Des Martyrs uliopo mjini Kinshasa kuumana na timu ya Taifa ya DR Congo wakiwania tiketi ya kufuzu Afcon mwaka 2025,…
Msimu wa 25 wa maonesho ya Tiba yazinduliwa rasmi Dar
Na Lookman Miraji Msimu wa 25 wa maonyesho ya tiba yamezinduliwa rasmi hapo jana jumanne ya oktoba 9 katika ukumbi wa diamond jubilee ulioko upanga, Dar es salaam. Maonyesho hayo ambayo hufanyika kila mwaka ambapo huandaliwa na kampuni expo kwa…
Waogeleaji 70 wenye mahitaji maalum kuchuana Oktoba 12
Chama cha mchezo wa kuogelea kwa waogeleaji wenye mahitaji maalumu (Tanzania Para Swimming Association/ TPSA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanategemea kuendesha mashindano ya pili ya kitaifa ya kuibua vipaji vya waogeleaji wenye mahitaji maalumu. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika jumamosi…
Mtoto aliyepotea msituni siku 26 apatikana akiwa hai
Na Isri Mohamed Mwanafunzi Joel Malick, wa kidato Cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara iliyopo mkoani Manyara aliyepotea katika mlima wa Kwaraa walipokwenda kufanya utalii wa ndani pamoja na masomo kwa vitendo, amepatikana akiwa amedhoofika huku mwili ukiwa na…
Coastal Union wahamia rasmi Arusha
Na isri Mohamed Uongozi wa klabu ya Coastal union umewajulisha rasmi mashabiki na wadau kwamba timu hiyo itautumia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, Arusha kama uwanja wake wa nyumbani kwa michezo yake inayofuata. Taarifa iliyotolewa na ‘Wanamangush’ leo Oktoba 10,…
Rubani afariki dunia angani
Ndege ya Shirika la Ndege la ‘Turkish Airlines’ lenye makao makuu yake nchini Uturuki imeripotiwa kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy jijini New York nchini Marekani mara baada ya nahodha wa ndege hiyo, Ilcehin Pehlivan…