JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wadau TPA waridhishwa na huduma za bandari nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam WADAU mbalimbali na watumiaji wa huduma za bandari wameridhishwa na ubora wa huduma sambamba na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) wakisema mamlaka imefanikiwa kukidhi matarajio ya wateja wake pamoja…

NEMC yawapa elimu kikundi cha wanawake na Samia

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeendesha semina ya siku moja ya elimu ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira kwa kikundi cha Wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma. Semina hiyo imefanyika…

Dk Mpango ataka viongozi wa kidini na kimila kushirikiana na watendaji sekta ya elimu 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewataka Viongozi wa kidini na kimila kushirikiana na Watendaji katika sekta ya Elimu kudhibiti suala la maadili kwa watoto. Mhe. Mpango ametoa rai hiyo Oktoba 09, 2024 mkoani…

Vijana wa kike acheni woga jitokezeni kuwania nafasi za uongozi

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Wanawake mchini hususan vijana wa kike ( Wasichana) wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba mwaka huu na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwakani ili kuwa sehemu…

JWK yazindua jukwaa la biashara na huduma

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha changamoto za wafanyabiashara zinapatiwa ufumbuzi kwa haraka, Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK) kwa kushirikiana na wataalam pamoja na wadau mbalimbali wameanzisha Jukwaa la Biashara na Huduma (JBH). Akizungumza wakati wa uzinduzi…

Wakazi Dar Kusini wapewa uhakika majisafi ifikapo Desemba 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu), William Lukuvi (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji Dar es Salaam ya kusini maarufu kama Bangulo na…