Year: 2024
Tanzania, Hispania zaimarisha diplomasia
SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na Serikali ya Hispania katika sekta za utalii, afya, maji, miundombinu, usafi wa mazingira, kilimo na nishati ambazo zinachangia katika kuboresha maisha ya Watanzania. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii,…
Rais Samia achangia mil. 50/-, kufanikisha ujenzi wa shule, umaliziaji wa majengo ya Zahanati Simiyu
Na Mwandishi Wetu (OR – TAMISEMI,) Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati…
Sekta binafsi ya ulinzi yapongezwa kwa huduma bora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza usalama wa raia na mali zao hapa nchini. Mkuu wa Ushirikishwaji Jamii wa Jeshi la Polisi…
Marekani yashambulia ngome za IS Syria
Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa yanayotajwa kuwa ngome za kundi linalojiita dola la Kiislamu ISIS nchini Syria, kulingana na Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani kupitia mtandao wa X. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mashambulizi hayo…
Takribani watu 29 wauawa Gaza
TAKRIBAN watu 29 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika eneo la kati na kaskazini mwa Ukanda wa Gaza Jumamosi na usiku kucha, Shirika la habari la Reuters linaripoti likiwanukuu madaktari. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilianza mashambulizi…
Nkuna wa Chadema afungiwa kuendesha gari
Na Mwandishi Wetu Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X kuwa ameshambuliwa na watu wasiojulikana mjini Iringa, Vitus Nkuna (29) amefungiwa leseni ya udereva kwa miezi sita. Akizungumza na…