JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TFNC yaitaka jamii kuacha dhana potofu kuhusu Virutubishi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam AFISA Utafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Francis Millinga ametoa wito kwa jamii kuacha dhana potofu kwamba Virutubishi vina madhara. Ameyasema hayo kwenye maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ambayo…

TMA: Wananchi fatilieni taarifa za hali ya hewa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kufatilia taarifa za hali ya hewa ili kuongeza tija katika shughuli zao. Aidha amesema kuwa Mamlaka…

TASAC kuhakikisha huduma za usafirishaji kwa njia ya maji zinakuwa bora Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limesema kuwa limejidhatiti kuhakikisha huduma za usafirishaji kwa njia ya maji zinatolewa kwa ubora, ufanisi na kwa…

Mkurugenzi Mkuu REA ahamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewaasa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuokoa gharama na muda, kulinda mazingira na afya zao hasa ikizingatiwa kuwa teknolojia sasa imeboreshwa na gharama yake ni ndogo ikilinganishwa…

Madaktari bingwa wa nyonga kutoa India kufanya upasuaji wa magoti na nyonga Dar

· Ni matunda ya ziara ya Rais Samia India · Wagonjwa nje ya nchi sasa kumiminika kutibiwa hospitali za Tanzania Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salam DAKTARI bingwa wa upasuaji wa magoti na nyonga kutoka hospitali maarufu diniani YASHODA…

Global Education Link kupeleka kundi la kwanza nje ya nchi wiki ijayo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia kuanza kwenda kwenye vyuo vikuu mbalimbali nje ya nchi kuanza masomo hayo kuanzia…