JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanaume watakiwa kuacha kuwaoa wanafunzi badala yake wawaache wavae mavazi mawili

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wanaume kuacha kuwaowa wanafunzi wa kike badala yake wawaache wasome na wavae magauni mawili ambayo ni sare za shule na joho la kuhitimu masomo . Pia wazazi…

Msajili Hazina aanza kuita waombaji bodi za mashirika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ofisi ya Msajili wa Hazina imeanza kutekeleza mageuzi katika muundo na utaratibu wa kusimamia mashirika na taasisi za umma hususani katika kuajiri na kufukuza watendaji wakuu wa mashirika hayo. Pia, serikali imetekeleza utaratibu…

Wawekezaji 58 kutoka nje ya nchi waonyesha nia kuwekeza katika kongani ya viwanda KAMAKA Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wawekezaji 58 kutoka nje ya nchi wameonyesha nia ya kuwekeza katika kongani ya kisasa ya Modern Industrial Park -KAMAKA Co. Ltd iliyopo Disunyara, Mlandizi Kibaha mkoani Pwani . Licha ya nia hiyo ya wawekezaji ,Kongani…

Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa

Tanzania imeanza vizuri mwaka 2024 baada ya kuondolewa kwenye orodha ya nchi zenye madeni makubwa Afrika. Taarifa ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) jana iliyotoa orodha ya nchi 10 zenye madeni makubwa Afrika, ilisema kitendo hicho cha Tanzania kuondolewa…

RC Kigoma akabidhi msaada wa sh.mil. 27 Katesh

Na Bryceson Mathias, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi misaada mbalimbali yenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Mil. 27 kwa wakazi walioathiriwa na maafa yaliyotokana na mafuriko  yaliyosababisha maporomoko ya tope katika mlima Hanang kata ya…