Year: 2024
Watu 38 wamekufa kwa ajali za moto 2,076 katika kipindi cha mwaka jana nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatoa pongezi na shukurani kwa vyombo vyote vya habari na wanahabari kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhabarisha umma juu ya huduma zinazotolewa na jeshi hilo hapa nchini kwa kipindo cha…
Mbwa anayefugwa kwa ulinzi aishambulia familia na kusababisha madhara
Usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 majira ya saa nne usiku familia ya Nicholaus Kunju ilishambuliwa na mbwa na kuisababishia madhara kwenye sehemu mbalimbali za miili yao. Kwa mujibu wa mtoa taarifa walioshambuliwa ni mke wake pamoja na watoto. Tukio…
Ulega amsimamisha kazi Afisa Mfawidhi Kigoma
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Bw. Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma. Waziri…
Dk Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba miwili ya kihistoria ya gesi asilia
Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG
Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini
Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati
Nchi kuwa na nishati…
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu Mwanza yaongezeka , wananchi watakiwa kuchukua tahadhari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wananchi mkoani Mwanza wametakiwa kuchukua tahadhari mbalimbali ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka,kuacha uuzaji wa vyakula holela katika maeneo yasiyo rasmi hatua itakayosaidia kijikinga na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Ra hiyo ilitolewa Jana Jumanne…
Mbunge Msalala ajigama ‘Rais Samia anatubeba’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Msalala MBUNGE wa Jimbo la Msalala, Kahama mkoani Shinyanga, Alhaj Idd Kassimu Idd (CCM) ametamba kwamba, fedha za miradi ya maendeleo zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, zimeibeba halmashauri hiyo. Akizungumza katika kikao cha wadau wa…