JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wananchi wachagua viongozi Serikali za Mitaa

📌 DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi 📌Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….

Dk Faustine Ndungulile afariki dunia

Na Isri Mohamed, Jamhuri Media, Dar es Salaam Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, akiwa nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Spika wa Bunge, Dkt…

Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada

Jumuiya ya kujihami ya NATO na Ukraine zimefanya mkutano wa dharura baada ya Urusi hivi karibuni kuishambulia Ukraine kwa kutumia kombora la kuvuka mabara. Nchi za magharibi zimejibu kwa kujiamini jana Jumanne vitisho vya mashambulizi ya makombora na matumizi ya…

Watu 5 wafariki ajali ya ndege Costa Rica

Maafisa wa uokoaji waliyapata mabaki ya ndege kwenye eneo la milima lakini ilichukua saa kadhaa kwa timu kufika eneo la ajali. Shirika la Msalaba Mwekundu liliripoti Jumanne aliyenusurika alikuwa amepelekwa hospitali. Shirika la msalaba mwekundu limesema watu watano wamekufa baada…