Year: 2024
Gardiel Michael huyo kwa Madiba
Nyota na nahodha wa timu ya Singida Foutain Gate, Gardiel Michael Kamagi, ametimkia zake kwa Madiba nchini Afrika Kusini kujiunga na timu ya Cape Town Stars kwa mkataba wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Singida…
Taasisi za umma Kongwa zahimizwa kuwa na mipango ya matumizi ya ardhi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon Mayeka amezielekeza Taasisi za Umma Wilayani Kongwa kuwa na mipango ya muda mrefu ya matumizi ya ardhi, itakayowezesha uhifadhi wa mazingira. Aidha amewataka wananchi kushiriki kwenye shughuli za…
Dk Feleshi : Mawakili wa Serikali kila mmoja atimize wajibu wake
Na Mwamvua Mwinyi, jamhuriMedia, Pwani MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi ametoa rai kwa mawakili wa Serikali , kila mmoja kutimiza wajibu wake na kufuata maadili na miiko kwenye majukumu yao. Aidha amewaasa kuwa waadilifu na kutenda…
Bilioni moja zatumika miradi ya ujirani mwema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Wananchi wanaoishi jirani na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa) wamelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kwa kufanikiwa kusimamia kiadilifu miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh 1,034,750,990. Wakizungumza na JAMHURI Digital kwa nyakati…