JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mvua ya upepo yaezua nyumba 20, makanisa Njombe

NJOMBE, Mvua iliyoambatana na upepo mkali jioni ya tarehe 19/1/2024 imesababisha kaya zaidi ya 20 kukosa makazi kwa kuezua bati la nyumba  na zingine kubomoka katika kata ya Luwumbu, Lupalilo na Mang’oto  Taasisi kadhaa pia zimekumbwa na maafa hayo ikiwemo…

Bashungwa aagiza daraja la Nzali – Chamwino kujengwa haraka

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu…

NAM iendeleze ushirikiano katika masuala ya ulinzi – Majaliwa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wahakikishe wanashiriki katika kila tukio la umoja huo pamoja na kuendeleza ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi….

VETA, NIT waunganisha nguvu kuandaa walimu wa ufundi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) wametia saini hati ya makubaliano na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuanzisha ushirikiano wa utoaji wa…