Year: 2024
Dk Biteko, Waziri wa Nishati Misri wazungumzia maendeleo mradi wa JNHPP
đź“ŚMajaribio ya mwanzo mtambo Na.9 JNHPP yaleta mafanikio đź“ŚKilowati 100 zaanza kuingizwa gridi ya Taifa đź“ŚWaridhishwa na utekelezaji wa mradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Nishati…
Serikali yaahidi kurejesha hali ya miundombinu ya barabara iliyoathirika na mvua
N Mwandishi Wetu, Jamhuriamedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepongeza Kamati ya Maafa ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa jitihada mbalimbali za kurejesha hali katika maeneo ambayo…
Baada ya kuwekewa puto Mloganzila nimepungua kutoka kilo 150 hadi 99
Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali…
Diplomasia ya Tanzania yazidi kung’ara kimataifa
Diplomasia ya Tanzania imezidi kung’ara kimataifa kufuatia viongozi wakuu kutoka mataifa mbalimbali kufanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha na kudumisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na mataifa hayo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…
Bashe ataja sababu ya upungufu wa sukari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Amesema mvua hizo zimeathiri hali…