JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mwakinyo : Wakongo ni wacheza bolingo, njooni muone ngumi Jan 27

Na isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Bondia Hassan Mwakinyo amesema hana hofu yoyote  na mpinzani wake Mbiya Kanku kutoka DRC Congo, atakayepigana naye Januari 27, 2024, kwani sifa kuu ya taifa hilo ni kucheza bolingo na si ngumi. Mwakinyo ambaye atapanda…

Simba, suala la ujenzi wa uwanja mmepigaje hapo?

Na Isri Mohamed,JamhuriMedia, Dar es Klabu ya soka ya Simba jana Januari 21,2024  imefanya mkutano wake mkuu wa kujadili katiba yao, kutoa mrejesho wa mapato na matumizi ya klabu kwa mwaka 2023, sambamba na makadirio kwa mwaka 2024. katika mkutano…

Dk Biteko aongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa China

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu. Akiwa nchini, Mhe. Guozhong anatarajiwa…

Timu ya Mlandege wapeleka kombe Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha…

Waziri Mkuu ashiriki mkutano wa tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika…

Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis

Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoloki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Suluhu Hassan atafanya Ziara ya Kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa…