Year: 2024
EWURA CCC yawajengea uwezo wajumbe 150 wa Kamati za Mikoa za watumiaji wa Nishati na Maji
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Morogoro BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA CCC) kwa uwezeshwaji wa EWURA limefanya mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe 150 wa Kamati za Watumiaji wa Nishati, Maji na Gesi asilia za Mikoa…
Misri yaipongeza Tanzania kwa kutekeleza mradi wa JNHPP
Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao umefikia asilimia 95.83 hadi sasa. Waziri huyo ametoa pongezi hizo tarehe 22 Januari, 2024…
Watuhumiwa 10 wa mauaji ya mlinzi wakamatwa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kumi wa mauaji ya Yumen Elias (54) aliekuwa mlinzi katika eneo la Mwananchi lililopo Kata ya Mahina Wilaya ya Nyamagana na mkazi wa Nyashishi aliyeuwawa kwa kukatwa…
Majaliwa : Hakuna nchi itakayoachwa nyuma
*Asema hayo ni maazimio ya nchi zinazounda kundi la G 77 na China Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77 na China umeazimia kwamba nchi hizo pamoja na China zitaendelea kuweka…
Ivory Coast wakanyagana, mashabiki wavunja vioo vya magari uwanjani
Na Isri Mohamed Michuani ya AFCON inazidi kushangaza wengi kufuatia matokeo mabaya ya timu ambazo kutokana na ubora wa wachezaji wake zilitarajiwa kufanya vizuri ikiwemo Côte d’Ivoire, ambayo usiku wa kuamkia leo imepokea kichapo cha mabao manne kwa nunge kutoka…
Afisa Mhifadhi Kanda ya Kusini awashauri Watanzania kutembelea hifadhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Makete AFISA Mhifadhi mkuu wa Kanda ya Kusini Jonathan Kaihura ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo katika hifadhi zetu hapa nchini na hasa Hifadhi ya Taifa za Kitulo iliyopo mkoani Njombe…