Year: 2024
Matokeo ya kidato cha nne 2023 haya hapa
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 13 hadi 30, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo Januari 25, 2024 na Katibu Mtendaji wa NECTA Dk Said Mohammed https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE%202023.htm
Waziri Mkuu akutana na Naibu Waziri Mkuu wa China
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumanne Januari 23, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong ambaye aliwasili nchini jana Jumatatu Januari 22, 2024…
Mil. 622/- kulipa fidia Njombe kwa kaya 31
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi kutenga kiasi cha Sh. milioni 622 kwa ajili ya kulipa fidia kwa kaya 31 za wananchi waliopisha ujenzi wa barabara ya Ndulamo-Nkenja-Kitulo Km 42.2 inayojengwa kwa kiwango cha lami….
Bashungwa : Rais Samia anapiga lami barabara ya Kibena – Lupembe mkoani Njombe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena – Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika…
Mo Dewji aendelea kukimbiza utajiri Afrika Mashariki, yumo 20 bora AFRIKA
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jarida la Forbes limemtaja mfanyabiashara Mtanzania, Mohammed Dewji (Mo) kuwa miongoni mwa matajiri vijana zaidi katika kipindi cha miaka 10 mfululizo akishika nafasi ya 12 Afrika mwaka 2024. Tajiri huyo kijana ameajiri zaidi ya…