JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Zanzibar, China kushirikiana katika uchumi wa buluu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa misaada…

Dk Biteko ashiriki misa kuweka wakfu askofu mteule Mwijage mkoani Kagera

Leo Januari 27, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba,…

Taharuki kujiuzulu Waziri Simai

· Wengi washangazwa, wasema ni mchapakazi hodari anayejua kazi yake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, ¹Zanzibar WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohamed Said, ametangaza kujiuzulu kwa kile alichokisema, mazingira tatanishi ya kazi na…

Mwarobaini wa miundombinu korofi Serengeti wapatikana

Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho, JamhuriMedia, Serengeti Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja…

Mwakinyo abadilishiwa mpinzani, apewa mjeshi

Ikiwa imesalia siku moja kufikia Januari 27, 2024 siku ya pambano la ‘Mtata Mtatuzi’, Bondia Hassan Mwakinyo amebadilishwa mpinzani wa kucheza nae na kupewa Elvis Ahorgah kutoka Ghana. Mwakinyo ambaye awali alitakiwa kucheza na Mbiya Kanku kutoka Congo, wakiwania mkanda…

Kinara wa uuzaji dawa za kulevya nchini adakwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara kinara wa mtandao wa kuuza dawa za kulevya aina ya Cocaine nchini amekamatwa na jumla ya gramu 692.336 za dawa hizo zinazohusisha watuhumiwa wengine wanne katika oparesheni maalumu zinazoendelea nchini. Hayo yameelezwa…