JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mbaroni kwa kuhujumu miundombinu ya reli SGR Morogoro, Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngerengere WATU watatu wamekamatwa na vipande 396 vya nondo za ukubwa wa milimita 16 zilizokuwa awali zimejengea uzio kuzuia kukatiza wanyama waharibifu akiwemo tembo katika Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge (SGR)…

Wamiliki wa vyombo vya usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea…

Mawaziri wa Nishati Tanzania, Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

📌Ni la Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola Zambia 📌Dkt. Biteko asema pia litanufaisha mikoa ya kusini 📌Zambia yasema ipo tayari kutekeleza mradi huo 📌Timu ya Wataalam yaanza majadiliano Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na…

Hatimaye Nchimbi apata timu Rwanda

Na Isri Mohamed Mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Ditram Adrian Nchimbi ‘Duma’, amepata dili la kusajiliwa na klabu ya Etincelles inayoshiriki ligi kuu ya Rwanda. Nchimbi yupo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo. Nchimbi…

Mwakinyo bingwa mpya wa WBO Afrika

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Zanzibar Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amefanikiwa Kuubakisha mkanda wa WBO Afrika nchini kwa kumchapa ‘KO’ mwanajeshi wa Ghana, Elvis Ahorgah.. Mwakinyo ambaye amecheza Usiku wa Kuamkia Leo Visiwani Zanzibar, ameibuka na ushindi huo baada ya mghana…