Year: 2024
Rais Samia kuongoza mazishi ya Lowassa Februari 17
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli mkoani Arusha Jumamosi Februari 17, 2024. Awali Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano…
Lowassa, mwanasiasa aliyekuwa na ndoto ya kuwa Rais Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Edward Lowassa ni Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania aliyehudumu katika nafasi hiyo kati ya Desemba 30, 2005 na Februari 7, 2008 wakati wa uongozi wa awamu ya nne wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Lowassa alizaliwa…
Dk Mpango atoa maelekezo kwa wizara za ardhi na ulinzi
Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Arusha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdori Mpango ameielekeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Ulinzi kwenda eneo la Oldonyosambu lilipo wilaya ya Arumeru mkoa…
Rais Mwinyi amlilia Lowassa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2005 – 2008 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa kilichotokea…
Eng.Sanga awafunda watumishi wa ardhi nchini
●Awataka kuwa wasuluhishi wa migogoro na sio chanzo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewaasa watumishi wa Sekta ya Ardhi kote Nchini kujiepusha na tabia ya kuwa chanzo…
Bashungwa aipa mwezi mmoja kamati ya uwezeshaji wa wazawa sekta
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya Ujenzi na kuweza…