JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Sebastian Haller: Shujaa wa Ivory Coast, Rafiki wa Februari

Na Isri Mohamed Baada ya Ivory Coast Kutwaa Ubingwa wa AFCON 2023 jina la Mchezaji Sébastien Haller Aliyefunga Bao la Ushindi Lililowapa Ubingwa Limetajwa sana kama shujaa wa Ivory Coast na rekodi yake na mwezi Februari.. Haller anaimbwa kama shujaa…

TMDA yapata cheti umahiri katika utendaji

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya Ukimwi, Stanslaus Nyongo amesema Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekuwa kitovu cha umahiri katika tathmini na usajili wa dawa barani Afrika na kuwa na maabara inayotumika…

Rais Samia aweka historia, akutana na Papa Francis Vatican

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S., Vatican Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Vatican ulianzishwa kunako tarehe 19 Aprili 19, 1968 na Askofu mkuu Pierluigi Sartorelli akateuliwa kuwa ni Balozi wa kwanza wa Vatican nchini Tanzania, utume alioutekeleza hadi…

Epukeni matumizi yasiyo sahihi ya P2

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo zinapotumika bila utaratibu ikiwemo mvurugiko wa hedhi. Dkt. Mollel amesema hayo…

Ivory Coast na hadithi ya ikisikika nyuma geuka…

Na Isri Mohamed Ule msemo wa ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza umejidhihirisha wazi kwa timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo licha ya kufuzu hatua ya 16 bora kwa njia ya ‘Best Looser’ lakini wametwaa ubingwa wa…

PAC yaipongoza e-Ga kwa ubunifu,usanifu na utengenezaji mifumo ya TEHAMA yenye tija

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imeipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kuendeleza tafiti na bunifu zinazochagiza usanifu na utengenezaji wa mifumo ya TEHAMA inayoleta tija kwa taifa. Pongezi hizo zimetolewa na…