JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Hayati Lowassa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdor Mpango ameongoza mamia ya watanzani leo Jijini Dar es salaam Viwanja vya Kareemjee katika Maombezo ya kuuga Mwili wa aliyekuwa Waziri…

NIT yatoa mafunzo kwa wahudumu wa mabasi ya masafa marefu na Miji

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amefungua mafunzo ya usafirishaji kwa wahudumu wa mabasi ya masafa marefu na Mijini kanda ya Kati yaliyoandaliwa na chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT)kwa lengo la kuboresha huduma hiyo kuendana…

Daraja mto Ruaha Mkuu Morogoro kuchagiza maendeleo mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Imeelezwa kuwa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la mto Ruaha Mkuu lililopo kwenye barabara ya Kidatu – Ifakara lenye urefu wa mita 133 mkoani Morogoro, utakapokamilika utakuwa na manufaa makubwa ikiwemo kuchagiza maendeleo, kukuza uchumi…

ACT – Wazalendo yadhamiria kufuatilia miswada waliyopeleka bungeni iwe sheria

Na Magrethy Katengu, JamhuriaMedia, Dar es Salaam Chama cha Act -Wazalendo kimesema kitahakikisha kinafuatilia miswada waliyopeleka bungeni hadi ipitishwe kuwa sheria ikiwemo kudai tume huru ya uchaguzi aliyepoteza kadi ya kura au kufutika alipie fedha apewe nyingine, Tume ya Uchaguzi…

Waziri wa Ulinzi Marekani akimbizwa ICU

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin amelezwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi mjini Washington kwa matibabu huku ikielezwa kuwa anasumbuliwa na tatizo la kibofu”, maofisa wa Kituo cha Matibabu cha Kijeshi cha Walter Reed walisema. Austin, 70, baadaye alihamishia…