Year: 2024
DC Magoti atoa saa 24 kwa watuhumiwa wa utoroshaji korosho kilo 600, wajisalimishe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa saa 24 kwa watu wanaodaiwa kukimbia na kuacha pikipiki wakiwa wanatorosha korosho kilo 600 kutoka Kisarawe wakielekea…
Kapinga ahamasisha wananchi Mbinga kujisajili Daftari la Wapiga Kura
📌 Awaasa kuchagua viongozi watakaowatumikia kwa weledi Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amewahamasisha wananchi katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la…
Nigeria watelekezwa airport, wagoma kucheza dhidi ya Libya
Na Isri Mohamed Katika hali ya kushangaza timu ya taifa ya Nigeria imeamua kurejea nchini kwao bila kucheza mchezo wao wa kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Libya, baada ya kufanyiwa vitendo ambavyo wamevitafsiri ni hujuma kutoka kwa wenyeji wao Libya….
Rais Samia anunua tiketi 2000 za mashabiki wa Stars
Na Isri Mohamed Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amelipia tiketi 20,000 kwa ajili ya mashabiki wa Timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kuingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuishangilia timu hiyo kwenye…
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson afungua Mkutano wa Mabunge Duniani Uswisi
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 14 Oktoba, 2024 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika katika Kituo…