Year: 2024
GST kurusha ndege nyuki Mirerani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kushirikiana na Kampuni ya Tukutech Company Ltd kutoka Tanzania, Zanifi Enterprise Ltd kutoka Zambia na Radai OY kutoka Finland zinakusudia kurusha ndege nyuki (drone) angani kwa…
Rais Samia azungumza na wafanyabiashara na wawekezaji jijini Oslo Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024. Viongozi, Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa kwenye…
Wadau wa vyombo vya utangazaji nchini wamuenzi hayati Lowassa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ikiwa ni Mkutano wa mwaka wa vyombo vya Utangazaji nchini,Wadau wa vyombo vyombo hivyo wametumia dakika tano kumuenzi aliyewahi kuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa ambaye alifariki dunia February 10,2024 akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar…
Mkutano wa mwaka wa Vyombo vya Utangazaji nchini wafanyika Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ,imevitaka vyombo vya habari kufuatilia kwa umakini mafunzo ya kanuni za uchaguzi katika kuelekea uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa kwani vina wajibu wa kutoa taarifa sahihi kwa…
DC Kishapu awashauri viongozi kutumia takwimu za sensa
Na Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Joseph Mkude amewashauli viongozi wa sekta mbalimbali katika wilaya ya Kishapu kutumia takwimu za sensa, ili kuleta umakini na ufanisi kwa kuzingatia idadi ya wananchi katika kutatua mipango ya maendeleo na…