JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

RC S hinyanga awataka wazazi kuwapa lishe bora watoto

Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wazazi na walezi kuwalea watoto katika malezi bora, na kuwapa lishe bora, ikiwa ni pamoja na kuwasalimia watoto wakiwa tumboni ili wakue wakiwa na afya njema na akili….

Serikali yaja na suluhisho la upatikanaji wa nishati ya umeme migodini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanza mazungumzo na Kampuni ya TAQWA-DALBIT kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa upatikanaji wa nishati ya umeme migodini na maeneo yenye wachimbaji wadogo ili kuchochea shughuli za uchimbaji madini…

Waganga wafawidhi kuanza kulipwa posho za madaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuanzia Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi nchini posho za madaraka kutokana na kazi kubwa wanayofanya ya kusimamia…

Tutengeneze wasomi wenye akili vumbuzi siyo akili kibarua – Dk Mollel

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa maendeleo. Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma…

Mchezaji Quincy promes ahukumiwa kwenda jela miaka 24

Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi, Quincy Promes mwenye umri wa miaka 32, amehukumiwa kwenda jela miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya kuuza dawa za kulevya. Promes ambaye amewahi kuzitumikia klabu za…

JET yatoa elimu kwa wanahabari juu ya kupambana na uhalifu kwa wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari 20 kutoka Tanzania Bara na Visiwani juu ya kupambana na uhalifu wa wanyamapori . Mafunzo hayo ni ya siku mbili…