JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wizara ya Ujenzi Misri, Tanzania zakubaliana kuboresha barabara inayopita mikoa sita

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeingia makubaliano na wizara ya uchukuzi kutoka nchini Misri yenye nia ya kutengeneza kipande cha barabara inayopita katika mikoa 6 hapa nchini na inayoitwa inaitwa β€œThe Cairo to Cape Town Trans Number 4” (Barabara kuu…

Waziri Makamba kuendelea kuipaisha diplomasia ya uchumi katika mkutano wa Raisina

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, January Makamba, anatarajiwa kushiriki katika Mkutano wa 9 wa RAISINA (9TH RAISINA Dialogue) unaotarajiwa kufanyika nchini India kuanzia Februari 21 hadi 23, 2024. Ushiriki wake katika mkutano huo…

Polisi kuchunguza aliyejifanya mganga wa kienyeji na kuwalewesha watu 16 wa familia moja

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni…

TIMEXPO 2024 kuanza Septemba 26, mwaka huu, Dar

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TanTrade) wamefungua rasmi maonesho ya pili ya Kimataifa ya wazalishaji Tanzania (TIMEXPO 2024). Maonesho hayo yanatarajiwa kufanyika Septemba…

Mkutano Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani kuanza Februari 12, nchi 140 kuhudhuria nchini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Francis Mbindi ameeleza kuwa Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi…

Rais Samia awapa maua yao Ramadhan Brothers

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wachezaji Sarakasi wa Kimataifa, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Jobu maarufu kama Ramadhani Brothers baada ya kuibuka Mabingwa wa Dunia katika Mashindano…