JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mahakama yakubali ombi la wakili Malando kupitia shauri la mirathi la mteja wake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Wakili Edward Malando anayewawakilisha upande mmoja wa ndugu wanaovuna kwenye shauri la mirathi ya Zena Jalakhan ameomba Mahakama impe muda apitie jalada la shauri hilo. Wakili Malando aliwasilisha maombi hayo jana katika Mahakama ya Mwanzo…

Nondo achukua fomu kutetea nafasi yake

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Ngome hiyo ikiwa ni kipindi chake cha pili, huku akijivunia rekodi ya utendaji wa kazi…

Wasimamizi wa uchaguzi waaswa kuzingatia sheria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo na kata kufuata na kuzingatia sheria wakati wa kutelekeza majukumu yao ili uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 23…

DMDP kuboresha miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam kwa bilioni 988.83

Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imesaini mkataba wa mradi wa kuboresha miundombinu katika jiji la Dar es salaam (DMDP)awamu ya pili utakao gharimu bilioni 988.83. Akizungumza baada ya kusaini mkataba huo leo februari 20,2024 jijini Dar es salaam…

Nchimbi : Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi siku zao zinahesabika

*Awataka wanaosuasua kukaza buti *Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama…

Mpimbwe yapendekezwa kuwa wilaya

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Katavi Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa wa Katavi (RCC) imependekeza Halmashauri ya Mpimbe kuwa wilaya kamili ambapo kwa sasa halmashauri hiyo iko katika wilaya ya Mlele. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya…