JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Hospitali ya Temeke yazindua kituo cha kusafishia damu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Wananchi wameendelea kuhimizwa kufanya Mazoezi kwa bidii na kupunguza hali ya ulaji wa vyakula usiofaa ili kusaidia kuepukana na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo Sukari,Shinikizo la Damu, moyo mkubwa na Afya ya akili ambayo…

Ujenzi wa daraja la J.P Magufuli upo asilimia 90 ya utekelezaji

Mwonekano wa Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) Kilometa 3.2 linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita kupita Ziwa Victoria na ujenzi wa barabara unganishi ya Kilometa 1.66 ambapo utekelezaji unaendelea na upo asilimia…

NMB kumkabidhi Rais Samia shule, kuwanoa wajasiriamali 700 Kizimkazi Festival 2024

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB, ambayo pamoja na mambo mengine itawanoa wajasiriamali zaidi ya 700 na kukabidhi Skuli ya Maandalizi ya Tasani, iliyopo Sheia ya…

Tax afungua mazoezi ya Medani, Umoja 2024 ya JWTZ na Jeshi la China

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Stergomena Lawrence Tax, Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda, Wambata Jeshi wa Jeshi Rafiki pamoja na Mabalozi wakishuudia Vikundi vya Makomando Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa…