Year: 2024
Rais Samia akutana na Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21 February, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe….
TMA yawanoa wanahabari kuelekea masika 2024
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMesia Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali kujadili kuhusu utabiri wa msimu wa Masika (Machi –Mei) 2024, unaotarajiwa kutolewa tarehe 22 Februari 2024. Utabiri huu ni mahususi…
Utekelezaji mradi wa Tanzania ya kidijitali wafikia asilimia 70
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla amesema utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali umefikia asilimia 70 na utekelezaji wake ni wa miaka mitano kuanzia 2021…
Wawekezaji wazawa wajengewe mazingira rafiki kuendana na ushindani nchini-Mhagama
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imedhamiria kuishauri Serikali , kujenga mazingira wezeshi na rafiki kwa wawekezaji wa ndani (wazawa)ili waweze kumudu ushindani katika kuwekeza nchini. Aidha kamati hiyo ,imetoa rai…
Kampuni zaidi ya 500 za kitaifa na kimataifa kushiriki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini ( CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade), wamezindua mipango ya ushiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania 2024, Tanzania International Manufacturers Expo (TIMEXPO2024)….
Nassor Marhun aapa kutetea ushindi wa ACT Wazalendo 2025
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Mwenza wa Ngome ya Vijana, Nassor Ahmed Marhun amewaahidi vijana wa ACT Wazalendo kuwa endapo watachaguliwa wamejipanga kutafuta na kutetea ushindi wa chama chao katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Marhun ametoa kauli…