Year: 2024
Chama Cha Mapinduzi kimeshika hatamu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, London Katika kusherekea miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni bora kuwakumbusha Watanzania kuwa CCM imeshika hatamu za nchi. Kwa kutumia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa…
TMA yatoa mwelekeo mvua za masika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za Masika 2024 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 22, 2024…
Pinda akagua maandalizi ujenzi wa daraja Mirumba Kavu Mlele
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amekagua daraja la muda pamoja na maandalizi ya ujenzi wa daraja la Mirumba lililopo kwenye jimbo lake katika…
Dk Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa kuboresha huduma ya maji Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande…
Rais Mwinyi akutana na ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.na (kulia kwa Rais) Balozi wa Canada…