Year: 2024
Kambi maalum ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo Dar es Salaam
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2024 wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo TAZARA wilaya ya Temeke watatoa huduma za tiba mkoba zijulikanazo kwa jina la Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach…
Vijiji vyote 360 Iringa vyapata umeme
Usambazaji umeme vijijini mkoani Iringa umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote 360 mkoani humo vimesambaziwa umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Usambazaji umeme katika vitongoji vya Mkoa huo umetekelezwa kwa asilimia 64.11 ambapo vitongoji…
JET yawanoa waandishi wa habari namna ya kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, migongano baina ya binadamu na wanyamapori imekuwa ni tatizo kubwa na kumekuwa na ongezeko kubwa la uharibifu wa mali na kusababisha majeraha kutoka kwa wanyamnapori. Kwa kulitambua hilo,…
Makamba : Dunia inahitaji mfumo mpya ya maamuzi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb), ameieleza Jumuiya ya Kimataifa kuhusu umuhimu wa kuwa na mifumo mipya ya kimataifa itakayo zingatia haki na usawa katika kufanya maamuzi hasa kwa Mataifa ya Afrika….
Mafanikio ya Tanzania kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi yaivutia Nigeria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mafanikio katika sekta ya afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt….
Mazungumzo ya Rais Samia, Papa yana tija
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hadithi ya maendeleo ya taifa letu haiwezi kukwepa kuzungumzia ushirikiano wa taasisi za dini, hususan Kanisa Katoliki. Tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1964, Kanisa Katoliki limefanya mambo mengi katika kuchagiza maendeleo ya wananchi.Katika…