Year: 2024
Serikali inakamilisha taratibu za malipo kwa wakazi wa Nyatwali – Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha utaratibu wa malipo ya wananchi waliohamishwa katika eneo la Nyantwali ili kupisha hifadhi na mapito ya wanyama. “Naomba muwe watulivu, tathmini ilikwishafanyika na sasa Serikali inakamilisha taratibu za…
Pinda : Tumieni kituo cha redio Mpimbwe kutangaza mazao ili kupata masoko
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Katavi Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewataka wanawake wa Mpimbwe katika wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kukitumia kituo cha redio Jamii cha Mpimbwe fm…
Waziri Mkuu azuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka akiwasha mshumaa kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa…
Wananchi kupewa elimu MMMAM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Doroth Gwajima amewashauri wahariri wa vyombo vya habari nchini kushirikiana na serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu dhana ya Mpango wa Malezi, Makuzi, Maendeleo ya…
Ujumbe wa Tanzaania wajifunza utengenezaji vifaa vya uongezaji thamani vito
Watembelea Kiwanda cha Mtanzania Aliyewekeza Nchini Thailand Bangkok Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo mwishoni mwa wiki aliongoza Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand kutembelea Kiwanda Earth Supply Co. Ltd kinachotengeneza Mashine zinazotumika katika shughuli za kukata, kutoboa na…