JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TCCIA yataka wadau washiriki mkutano wa Halal kesho

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHEMBA ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimetoa wito kwa wafanyabiashara kote nchini kushiriki mkutano utakaotoa elimu ya bure kuhusu namna ya kupata cheti cha Halal kwenye bidhaa zao. Hayo yamesemwa leo jijini…

Mchungaji Mackenzie ashtakiwa kwa kuwaamrisha wafuasi wake wafunge hadi kufa Kenya

KesiI ya mauaji ya bila kukusudia inayomkabili mchungaji Paul Mackenzie imeanza kusikilizwa mjini Mombasa, Kenya. Mackenzie anadaiwa kuwaamrisha wafuasi wafunge hadi kufa ili wakutane na Yesu. Kiongozi wa kidini aliewahimiza waumini wake kufunga hadi kufa nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji…

FCS yaiomba Serikali itupie macho makundi maalum na kujiimarisha kiuchumi

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na…

Ndumbaro asitisha ujenzi wa shule eneo la michezo Dar

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza kusitishwa maramoja kwa ujenzi wa shule ya msingi katika eneo la michezo lililopo mtaa wa  Panga, Tegeta Wazo Jijjini Dar es Salaam. Mhe. Ndumbaro amefikia uamuzi huo kufuatia pingamizi…

Waziri Kombo kushiriki mkutano wa Mawaziri wa SADC, Harare

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Harare, Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 13 na 14 Agosti, 2024 Mkutano huo…