Year: 2024
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan anawajali watu wenye Mahitaji Maalum kwani ameweka mazingira mazuri ya kuwalinda na kuwapatia…
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ‘limedungua’ ndege sita zisizo na rubani za Kamikaze za Jeshi la Rwanda katika mji wa Mambasa eneo la Lubero katika Mkoa wa Nord Kivu. Msemaji wa Jeshi Lt Kanali Mak Hazukay alisema waasi…
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Kituo cha Televisheni cha Palestina kimesema waandishi wa habari watano kutoka kituo hicho wameuawa katika shambulizi la Israeli katika Ukanda wa Gaza katikati. Walikuwa katika gari la Quds Today lililokuwa limeegeshwa nje ya hospitali ya al-Awda, ambapo mke wa mmoja…
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WATAALAMU wa Lishe katika halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani hapa wametakiwa kuongeza ubunifu utakaoleta matokeo chanya miongoni mwa jamii ikiwemo kuboreshwa afya zao. Rai hiyo imetolewa juzi na Mkuu wa Wilaya hiyo Sauda Mtondoo…
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Msako mkali uliopewa jina la ‘Operesheni Serengeti’ uliofanywa na Polisi wa kimataifa dhidi ya wizi na utapeli mitandaoni umefanikiwa kuwanasa watu 1,006; JAMHURI linaripoti. JAMHURI limeelezwa kwamba Operesheni Serengeti imefanyika katika mataifa 19…
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo naandika makala hii si kwa jambo jingine, bali kupanua wigo wa mjadala na kuwapa Watanzania muktadha wa siasa za kuanzia kwenye vyama na hatimaye kuingia Ikulu. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na…