Year: 2024
Mto wenye maji meupe, kivutio cha utalii Hifadhi ya Katavi
Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Katavi Utalii wa kuvua samaki (spot fishing) katika mto Ndido wenye maji yanayoonyesha hadi samaki, mawe na wadudu walioko ndani ya maji katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi ni kivutio kizuri kwa watalii, achilia mbali utalii…
Mageuzi sekta ya afya Tanzania yaikuna Kenya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mageuzi makubwa yaliyofanyika kwenye sekta ya Afya nchini kupitia Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yameivutia Serikali ya Jimbo la Kilifi kutoka Kenya ambao wamefika kujifunza namna…
Mbunge wa Kenya : Msikubali kauli ya vijana kuwa ni viongozi wa kesho
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge kutoka Embakasi Mashariki ya Kenya Paul Owino (Babu Owino) amewashauri Ngome ya Vijana chama cha ACT Wazalendo waikanushe kauli ya kuwa wao viongozi wa kesho bali waamini kuwa wao ni wa leo…
Gofu kumuenzi Lina yaanza kurindima Moshi
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Moshi Michuano ya Gofu inayoitwa Lina PG Tour imeanza kurindima katika Viwanja vya TPC Moshi ambapo zaidi ya wachezaji 80 wakiwemo 16 wa kulipwa wamejitokeza kushindana. Shindano hilo limeandaliwa na familia ya Said Nkya kwa kushirikiana…
MSD: Kuna haja kuwa na mifuko ya akiba ya kuhifadhia damu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuna haja ya kuwa na akiba ya mifuko ya kuhifadhia damu itakayodumu kwa kipindi cha kuanzia miezi mitano hadi tisa, kuepuka kuadimika kwa bidhaa hizo. Kauli hiyo ya…