Year: 2024
CPA Makalla ataja sababu za CCM kushinda kwa kishindo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa, chama hicho kimeshinda kwa kishindo kutokana na maandalizi waliyoyafanya pamoja na kuzitumia 4R za Rais wa Jamhuri…
Rais aomboleza kifo cha Ndunguile wakati wa kikao kazi jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa kikao kazi kilichofanyika Ikulu ndogo…
Mwanamitindo Mellen kuongoza Tamasha la Mitindo la Samia
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanamitindo wa Kimataifa wa Tanzania Mellen Magese ametangazwa kuwa jaji mkuu wa Tamasha la Samia Fashion Festival litakalofanyika Novemba 30 mwaka huu visiwani Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa…
Nyota ya Mbappe yafifia Real Madrid Wakiyumba Ligi ya Mabingwa
Mabingwa mara 15 wa Ulaya, Real Madrid, wanakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kupoteza mara tatu katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa. Baada ya kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Liverpool, wababe hao wa Uhispania wapo katika nafasi ya…
Usalama wa bahari una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa dunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Shirika la Bahari Duniani (IMO), Antonio Dominguez amesema usalama wa baharini una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa Dunia kwani unabeba ustawi wa mazingira na jamii kote ulimwenguni. Kauli hiyo ameitoa…
Uchaguzi Serikali za Mtaa, CCM yashinda kwa asilimia 99.1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, amesmea kuwa katika nafasi ya uenyekiti wa kijiji Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa asilimia 99.01 kikifuatiwa na Chadema. Zoezi la uandikishaji…