Year: 2024
Benki ya Mwalimu Commercial yazindua ‘Tunu’
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ajenda ya kuinua wanawake kiuchumi, Benki ya Mwalimu Commercial imezindua bidhaa mpya ya ‘Tunu’ kwa ajili ya Wanawake na Vijana . Hayo yamebainishwa jijini…
Serikali Pwani yakemea uchomaji misitu kiholela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani, imekemea tabia ya uchomaji moto misitu ,unaofanywa kwenye baadhi ya maeneo ,kwani kwa kufanya hivyo ni kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira. Mkoa huo ni miongoni mwa mikoa inayoshamiri kwa changamoto ya uharibifu…
Katibu Mkuu Nishati afanya kikao na wawakilishi kutoka Energy Cards
Inajishughulisha na kutoa ushauri Sekta ya Nishati Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Taasisi ya Energy CARDS ambao walifika ofisini kwake kwa ajili ya kutambulisha shughuli wanazozifanya. Katika kikao kilichofanyika tarehe 7…
ACT – Wazalendo chatangaza kujitoa kwenye Umoja wa Kitaifa
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kujitoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutokana na kutotekelezewa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa…
TRA yatoa tuzo kwa mwanamke kinara kulipa kodi nchi nzima
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kusherehekea siku ya Wanawake Duniani Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa tuzo ya mwanamke Mlipakodi namba moja Tanzania kwa mwaka 2023. Mwanamke huyo ni Zainab Addan Ansell ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa…