Year: 2024
Mgomo wa daladala Mwanza waathiri wananchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Madereva wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa kwa muingiliano wao (daladala) na pikipiki za miguu mitatu, maarufu ‘bajaji’, katika vituo vya kupakia abiria….
Ajali yaua tisa Bagamoyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali…
NMB, ZASCO zasaini makubaliano kuongeza thamani zao la kimkakati Z’ Bar
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO), zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ya ushirikiano, lengo kuu likiwa ni kuliongezea thamani zao la kimkakati la Mwani na kupanua wigo wa mchango wake katika kukuza…
Dk Biteko : Rais Samia hataki misukosuko kwa wafanyabiashara
📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama…
Wakulima wa viungo Kizerui, Antakae walilia sheria ya usimamizi wa mazao hayo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga WAKULIMA wanaozalisha mazao ya viungo kwa mfumo wa kilimo hai katika vijiji vya Kizerui na Antakae wilayani Muheza mkoani Tanga wameiomba Serikali kutengezeza sheria za kusimamia mazao hayo ili kuweza kuyalinda na kuyaongezea thamani. Ombi…