Year: 2024
Wizara ya Madini kurejesha minada ya ndani na kimataifa madini ya viti
●Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ●Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ●Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya…
Serikali kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za uchumi wa Buluu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo kwakutumia rasilimali hizo kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi…
Tulikuwa tunamuhofia Msuva tu – Mayele
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo, Fiston Mayele amesema mchezaji pekee wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) waliyekuwa wakimuhofia ni Simon Msuva kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukimbia eneo…
Rais Samia anataka tuongeze mapato ya utalii – Waziri Chana
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na Utalii ikiwa ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya…
Serikali yaweka mkazo kukuza tasnia ya ufugaji kuku
*Vijana Wahimizwa Kujiajiri Kupitia Ufugaji Kuku * Dkt. Biteko Atoa Maagizo kwa Wizara ya Mifugo Kukuza Tasnia ya ufugaji wa Kuku * Watanzania Wahimizwa Kufuga Kibiashara sio Kitamaduni *Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa…
Chalamila awaasa madaktari bingwa wa Samia kufanya tafiti za magonjwa
Na WAF – DSM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameiasa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 35 kuja na majibu ya kitafiti kutoka kwa wagonjwa watakayokuna nayo wakati wa kambi ya siku sita ili…