Year: 2024
Watakiwa kuunga mkono juhudi za Rais Samia kwa vitendo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Kuekelea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni, Wananchi Wilayani Same Mkoni Kilimanjaro wametakiwa kuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo kwenye maboksi ya kura pamoja na…
Yanga Vs Ihefu, mechi ya kisasi leo
Na Isri Mohamed Klabu ya wananchi Yanga leo jioni inatarajia kushuka dimbani dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, saa 1 jioni. Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na mioyo ya kisasi kufuatia matokeo ya mchezo…
Meneja RUWASA atoa siku saba kuundwa kamati ya kutatua kero ya maji Singa
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kilimanjaro Maneja wa RUWASA wilayani Moshi, Mussa Msangi, ametoa agizo la kuuundwa kwa kamati mpya ya maji ndani ya siku saba katika Kijiji cha Singa kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu maji. Meneja Msangi ametoa agizo…
CBE waja na kozi ya uchunguzi wa rushwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Nsemwa, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kuanzisha kozi ya uchunguzi wa masuala ya ufisadi na kupambana na rushwa. Amesema kozi hiyo itasiadia kwa kiwango kikubwa nchi…
Rais Samia aboresha huduma za afya Manispaa Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora HALMASHAURI ya Manispaa Tabora imepokea zaidi ya bil 1.3/ kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kuboresha upatikanaji huduma za afya kwa wananchi katika zahanati na vituo vyote vya kutolea huduma za afya. Hayo yamebainishwa jana…