Year: 2024
Ofisi ya Waziri Mkuu itaendelea kuratibu programu ya ASDP II ili kuongeza tija – Dk Yonazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameeleza kuwa, Ofisi yake itaendelea kuratibu Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ili kuendelea…
Kamati ya Bunge yataka mipango matumizi ya ardhi vijijini kusimamiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruangwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka mipango ya matumizi ya ardhi inayotekelezwa katika vijiji mbalimbali nchini kusimamiwa ipasavgo na Kamati za Vijiji ili iweze kuleta tija katika vijiji husika. Aidha,…
Uwekezaji kwenye sekta ya elimu lazima umguse mwalimu – Dk Biteko
π Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP) π Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu π Aeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya Ualimu π Ataka walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha π…
Zimbabwe yavutiwa na mpango wa Tanzania kurejesha minada ya vito
Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Soda Zhemu amesema kuwa nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo katika hatua za mwisho kurejeshwa nchini Tanzania baada ya kukamilika kwa Marekebisho ya Sheria. Amesema hayo Machi…
Samatta, Job waachwa Taifa Stars
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza kikosi cha wachezaji 23 cha Timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachokwenda Azerbaijan kwa ajili ya michezo ya FIFA Series 2024. Kikosi hicho ambacho kwa sasa kinanolewa…
Polisi yawataka wananchi kuwataja wezi wa mifugo Endasak Manyara
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Katesh Manyara Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka…