Year: 2024
Bilioni 79 kujenga vituo vya Polisi Kata nchi nzima
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Serikali imedhamiria kutumia kiasi cha Tshs.Bilioni 79 kujenga Vituo vya Polisi Kata 698 katika maeneo mbalimbali nchini lengo ikiwa kutataua changamoto za kiusalama kwa jamii ambapo kila kituo kinatarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni 115….
TEHAMA yaanda kongamano litakalo wakutanisha watu 300 Arusha
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Tume ya Habari na Mawasiliano nchini (TEHAMA), imeendaa jukwaa la tatu la usalama wa mitandao ya kielekitroniki la mwaka 2024 litakalofanyika kuanzia April 4 hadi 5 mwaka huu jijini Arusha ambapo washiriki 300…
Mume aua mkewe kwa kumchinja na kisu
Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Mbeya Mwanaume mmoja aitwaye,Ombeni Kilawa (43,) mkazi wa Kijiji cha Lusese, Kata ya Igurusi wilayani Mbarali anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mke wake kwa kumchinja na kisu shingoni . Kwa…
Samatta aliomba asiitwe Stars
Na Isri Mohamed Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliomba kutojumuishwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa. TFF imesema Samatta alizungumza na Kocha Hemed Suleiman, kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na…
Wakazi Kisabi wagoma kuhamia Kikongo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wakazi wa Kitongoji cha Kisabi , Mlandizi ,Kibaha Vijijini , Mkoani Pwani wanaotakiwa kupisha eneo hilo na kuhamia Kikongo eneo lenye ekari 1,000 lililotolewa na Serikali wamegomea kuhama wakidai ugumu wa kuanza maisha mapya. Hayo…
Watoto chini ya miaka mitano wapatiwa matone ya vitamini A
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion International kwa ajili ya kuwapatie watoto walio na umri chini ya miaka 5 wapatao milioni…