JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mikataba ya kibiashara ikuze uchumi, makusanyo ya ndani

Na Baraka Jamali, JamburiMedia, Mtwara Mikataba ya biashara na kodi kati ya nchi moja na nyingine inachukua nafasi muhimu ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Kimsingi, mikataba hiyo ina lengo la kupunguza mzigo wa kodi kwa wawekezaji wa kigeni na kuhamasisha…

Tuchel achaguliwa kuwa kocha Mkuu England

Chama cha soka Nchini England (FA) kimetangaza Thomas Tuchel kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miezi 18 kuanzia Januari 2025 ambao utambakisha kwenye hatamu mpaka mwishoni mwa kombe la Dunia 2026. Tuchel (51) raia wa…

Wizara ya Madini kurejesha minada ya ndani na kimataifa madini ya viti

●Itafanyika ndani ya nchi na nje ya nchi ●Itaendeshwa na Tume ya Madini kushirikiana na Soko la Bidhaa Tanzania ●Marekebisho ya Sheria na Kanuni yakamilika ⚫️ Ni utekelezaji wa Rais Samia kukuza biashara ya Tanzanite Dodoma Serikali kupitia Wizara ya…

Serikali kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za uchumi wa Buluu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi wananufaika ipasavyo kwakutumia rasilimali hizo kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi…

Tulikuwa tunamuhofia Msuva tu – Mayele

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Congo, Fiston Mayele amesema mchezaji pekee wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) waliyekuwa wakimuhofia ni Simon Msuva kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukimbia eneo…

Rais Samia anataka tuongeze mapato ya utalii – Waziri Chana

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na Utalii ikiwa ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya…