Year: 2024
Aliyemchoma visu mara 25 mkewe na kufariki na yeye afariki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Lucas Paul Tarimo, aliyekuwa akituhumiwa kumchoma visu mkewe mara 25 marehemu Beatrice Minja (45), mkazi wa kijiji cha Mbomai juu, Kata ya Tarakea mkoani Kilimanjaro, naye amefariki. Marehemu alikamatwa akiwa amejificha katika Kijiji cha Jema…
Mwakinyo, Mzimbabwe kupasuana Zanzibar
Na Mwandishi Wetu Bondia, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ anatarajiwa kupigana na bondia kutoka Zimbabwe, Enock Msambudzi Januari 27 mwaka huu visiwani Zanzibar. Pambano hilo la kwanza tangu kuachiwa huru na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) baada ya kuwa kifungoni…
Serikali inathamini juhudi za kidini kupeleka huduma kwa wananchi – Dk Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Serikali inathamini na kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Sekta za kidini katika kusogeza huduma mbalimbali kwa wananchi mjini na vijijini. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Januari 2024…
Watu 30 wafa kwa tetemeko Japan
Watu 30 wameripotiwa kufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga pwani ya katikati mwa Japan siku ya mwaka mpya huku Waziri Mkuu Fumio Kishida akionya uwezekano wa majeruhi kuongezeka. Tetemeko hilo la Richter 7.6 lilipiga eneo la Peninsula ya…
Macha : CCM itawaweka pembeni wote wanaosaka ubunge, udiwani kwa kuvunja kanuni
Atoa agizo Ofisi za CCM mikoani kuwafuatilia wote *Akemea vikali tabia za kuanzisha ligi za Mbuzi Cup, Ng’ombe Cup kwa lengo la kusaka uongozi huo kabla ya muda_ . *Asema Wanojaribu kutaka Ubunge kwa sasa Chama kitawaweka pembeni wote ifikapo…